John 18:11

11 aIsa akamwambia Petro, “Rudisha upanga wako kwenye ala yake. Je, hainipasi kukinywea kikombe alichonipa Baba?”

Isa Mbele Ya Kuhani Mkuu

Copyright information for SwhKC